cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
kana confidence sana hata alivokuwa anasimama nilijua tu katashinda
Katika watano huyo tu ndio alinivutia, na ni leo nimemuona.
Atafika mbali, na sio yule kama anapenda makuuuuu na ubishololo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kana confidence sana hata alivokuwa anasimama nilijua tu katashinda
bora umejbu mana ameng'ang'ania. Mbya zaid ni 18yrs afu Kinondoni. AaaahVirgin sikuhizi mwisho darasa latano
IST kweli?!ila kwa kuwa ushindi wenyewe wanapeana haina shida hata ukiodwa IST[emoji38][emoji38]Mwakani fadhili mkuu tena itakuwa vzuri
Kuna watu walio toka familia zinazojielewa mbona kawaidahyoUnathbtshaje? mana 18yrs n mbali sn kuwa na smthng valuable km iko
Ni kweli au hata lakwanzaHuko mbali sana mbona darasa pili siku hizi.
Gari yenyewe IST[emoji15][emoji15][emoji15]?!au macho yangu jamani?!kumbe hata mimi naweza Kudhamini haya mashindano mweh!
aaanh dau la imoooooooItakua aiseeeh atakua amechukua mshiko mzur maana kawagomea back stej. Itakua dau walimpandshia zaid.
Ana nitwa na yule wa mwisho kujibu maneno yalipotea kabisaKatika watano huyo tu ndio alinivutia, na ni leo nimemuona.
Atafika mbali, na sio yule kama anapenda makuuuuu na ubishololo.
Hahaaa hamna kitu palebora umejbu mana ameng'ang'ania. Mbya zaid ni 18yrs afu Kinondoni. Aaaah
Mkuu mbn unachokoza watu humu?Jiji pekee duniani ambalo unaweza katisha city centre ukakutana na kundi la Ngombe linakatisha
Mweh!!..IST New Model,poa tu lakiniMnafikiri wadhamini wana pesa za serikali kuzungusha kama awamu zilizopita, bora ni gari atafika anapokwenda.
Kuna kulipa kodi yote siku hizi pia.
Magu ananyoosha wengi
Ana nitwa na yule wa mwisho kujibu maneno yalipotea kabisa
Yaani hapa povu limenitoka utasema dada yangu kashiriki.ahaaaaa aaa bora umesema la moyoni mwako. Ila hata hao warembo hawana cha maana walichofanya kimataifa. Haya mashindano yafutwe