Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Gari yenyewe IST[emoji15][emoji15][emoji15]?!au macho yangu jamani?!kumbe hata mimi naweza Kudhamini haya mashindano mweh!

Mnafikiri wadhamini wana pesa za serikali kuzungusha kama awamu zilizopita, bora ni gari atafika anapokwenda.

Kuna kulipa kodi yote siku hizi pia.

Magu ananyoosha wengi
 
Oookey! Hla hlo Jina la baba bilashaka kiin chake ni Kagera.
 
Demu mbaya ana sura ya mjomba wake,hapa nimekasirika nataka kuvunja tv,sema nimekumbka tv ni yangu co yake.
 
ahaaaaa aaa bora umesema la moyoni mwako. Ila hata hao warembo hawana cha maana walichofanya kimataifa. Haya mashindano yafutwe
Yaani hapa povu limenitoka utasema dada yangu kashiriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…