Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Nimekuwa kama sikuwaelewa kwa namba

Walivyosimama leo
1- miss tz
2-
3-
4- huyu najua hakupata
5-

Walioshinda ni wapi 1st runner-up na 2nd?

Nitashukuru, nilikuwa nasubiria atajwe mshindi teh teh teee
Mwenyewe alinichaganya huyo mtamkaji
 
Ila DJ na MC walikuwa sijui wapi na wapi

Na wale waimbaji duh

DJ akawa anapiga nyimbo ambayo sio...kituko

Waamdaaji waangalie kideo kuona viroja

Flora vazi mmmmh!!!!!
 
Mkuu mbn unachokoza watu humu?
sijui tukimpa wiki moja tu akae hapo mjini atuletee mbuzi hao sijui ataweza, Na sijui tunajikweza nini haya mashindano ya majiji sijui huwa yana faida gani sababu kila sehemu na kadhia zake ukiwa hujawahi kufika Dar unaweza fikiri ni mbingu fulani hivi inasifiwa, Wiki mbili zilizopita Pale ambapo kuna jengo la mkuki mimi nimekutana na mbuzi na bahati nzuri nilikuwa kwa mguu walikuwa kama mbuzi 7 wanaswagwa kuelekea kamata hata mimi nilishangaa sana, ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuona mbuzi katika maeneo yale lakini later on nilijiona ni mpuuzi hii sio america hii ni Tanzanua mahali ambapo katika ya mji unakutana na bango limeandikwa usikojoe hapa, mjini pamejaa mabango ya waganga na madalali. Jiji ambalo watu wanaharibu miundombinu kwa makusudi kwa kweli Tanzania miji ni ya kujivunia kuliko majiji Nenda Moshi,Bukoba hukuti matangazo ya usikojoe hapa wala hukuti maenep machafu katika public Areas. huku kero kibao tu afu watu ndo tunajifanyaaaa tuko jijini?
 
Hivi hakukuwa na mabinti weupe walioshiriki kwenye ilo shindano mbaka wamempa huyo?

-Nyerere-
 
Reactions: MC7
Tumewapa chance watuoneshe angalau utofauti kidogo wamefanya fyongo tu kuanzia mwanzo wa events mpaka mwisho..the most bored misstz ever
Mkuu umewapa chance wewe na nani? Kamati ya miss Tanzania inaundwa na wana Mwanza, Tena mshukuru sana wana Mwanza wamewabebea aibu, inapaswa na change muwarudishie watu wajaze ukumbi vile afu uwaletee msanii mmoja afu kiingilio 20,000/= 50,000/= na 100,000/=
 
Tena yule flora, sijui jembe ni jembe wamejitoa sana lundenga tangia aboronge watu ka walilisusa shindano na wadhamini. Nawapongeza Mwanza Ku host haya mashindano bila HVO aisee
 
Tena yule flora, sijui jembe ni jembe wamejitoa sana lundenga tangia aboronge watu ka walilisusa shindano na wadhamini. Nawapongeza Mwanza Ku host haya mashindano bila HVO aisee
Dar na Mwanza na mbingu na Ardhi sasa mtu atleast utoe credit ili mwakani pia wai improve unaponda tu, Afu madebe tu hayaishi kutika tusio na uwezo tunaona mapungufu haoo hatariiii!!!!!!!!!!!!!! Wamebolonga ok kawekeze wewe sasa angalau tuone kwa vitendo inavyopaswa kuwa, holaaa hata udhamini wa chai ya viazi vitamu kwa warembo huna, Wenye nazo hawajashuhudia kwenye Tv kama wenzangu na miye kesho asubuhi mapema watakuwa washarudi ma kwao sisi bla blah kibaooooo
 
Kumbe aliyemjaza ma make-up ni huyo sijui nani mwenye mambo ya urembo Mwanza nani tena mmmh Flora? aliyeandaa pia miss TZ Mwz..akamjaza hatuaribie uzuri wa mrembo wetu. picha za 2 days ago jijini Mwanza.



Mfollow insta, wengine sisi tumefanya hivyo usiku huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…