hahaah.anamuona kweli u knowBila chenga!? Mungu anakuona
ameji.desgn.lol hahahaDah leo naona vioja hapa Startv... mtu anaojiwa anasema ameji design mwenyewe haha..
Mara mc anasema shindano live toka lock city Mwanza wadau au Tv yngu duh..
hahaha.mbuta nangaHivi hiyo salon ilikuwaje wamfanye mwenzao kama kinyago? Naona huyu mdada anafana na Flora
macho yako!Hawa wadada sio warembo au camera ndo mbovu?
mawingu ludisheni wasanii wetu waje kutuimbia huku lock city maana naona hapa kuna D.O.A nyingi sana ...mpka DJ amekua mchoyoMawingu inaonekana vizur
Kilofalofa mnoooUmeandika mada kilofa lofa.