Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pore sana. Ila kalibu Lock city.Hawa watangazaji kiboko penye r wanaweka l mi watu waongeaji HVO hunichefua aisee
Aiseeeh!! Bora hata ingefungiwa mazima ijulikane moja.Miss Tanzania hiyo.
Usiponichek leo n'takuua, ha ha ha.Walumumba usipanick tuko tamashani tukitoka ntakucheck
Atoto kwanini ifungiwe??Aiseeeh!! Bora hata ingefungiwa mazima ijulikane moja.
Siji kwa hyo kalibu zenuPore sana. Ila kalibu Lock city.
Hata hizi nguo walizoshonewa duuuh!! Hizi t.shirt za msaada au!!Washiriki wa mwaka huu mhhhhh???
Pole shosti hzi TVs sijui zinapigia CMU hyo event maana quality yakemm bado nipo startv maana nna startimes hapa
Sasa ndio vitu gani hivi!!Atoto kwanini ifungiwe??
Ndo miss Tanzania hyo inavokwenda.Sasa ndio vitu gani hivi!!
Mhhhh yani ni shida.Sasa huyo wa one more night anaimba nini?Hata hizi nguo walizoshonewa duuuh!! Hizi t.shirt za msaada au!!
Hakuna lolote marangirangi too much.Bora clouds kidogo wanaonyesha vzuri
Ok kalibu ture chakuraSiji kwa hyo kalibu zenu
Yaani majanga juu ya majanga!! Hivi ndio wamelipia sh ngapi kwenda kushuhudia haya madudu!!Mhhhh yani ni shida.Sasa huyo wa one more night anaimba nini?
Kila muda twende sijui waende wapi!Yaani majanga juu ya majanga!! Hivi ndio wamelipia sh ngapi kwenda kushuhudia haya madudu!!