Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Hatuna wivu......tunasema ukweli......
Watu wamechukiza sana.....
Watu wa mwanza hawajui kuvaa hata kidgo simnamuona sauda mwilima !!!anawawakilisha
Halafu star tv na wenyew naonaga wanang'ang'ania sana kuonesha hzi libe shows wakat huwa hawawez kitu n miyeyusho tu,enzi za itv mtu unavutiwa tu pale unavyomuona godwin au millard anatangaza ,kila kitu clear...mm nimeondka niko kitandani ...
 
Back
Top Bottom