Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Hahaaa hivi hakujiangalia kwenye kioo jamani bora angejipaka poda ya baby Johnson's. Hao wapaka makeup Mungu anawaona wamemfanya mwenzao ka kinyagoHivi hiyo salon ilikuwaje wamfanye mwenzao kama kinyago? Naona huyu mdada anafana na Flora