Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Watu wa mwanza hawajui kuvaa hata kidgo simnamuona sauda mwilima !!!anawawakilisha
Halafu star tv na wenyew naonaga wanang'ang'ania sana kuonesha hzi libe shows wakat huwa hawawez kitu n miyeyusho tu,enzi za itv mtu unavutiwa tu pale unavyomuona godwin au millard anatangaza ,kila kitu clear...mm nimeondka niko kitandani ...

Kwa kweli hata Mimi vimenishinda.........wacha nikalale......
 
Mkuu usiwalaumu wasukuma, Sasa hivi mwanza vitu vingi vinaendeshwa na makabila mageni, na hii event ni ya kitaifa meaning kamati ya maandalizi imejumuisha watu kutoka pande mbalimbali.Mwanza ni kupewa heshima tu
Wametia aibu aisee Mpaka sasa shindano halijaanza ludenga na kampuni yake wajichunguze, star TV wenyewe hzo picha aibu tupu.
 
Aisee hii kitu inaboa mpaka kinyaa kuanzia MCS, setting yaani mbona mmeamua kutudhalilisha sisi WASUKUMA jamanii. Mbona mnataka tuongee ovyo siku hii muhimu kwa taifa letu hili hatutalivumilia. KaribuNi kekI wasukuma wenzangu.
Tehetehe tangu Magufuli awe raisi siangalii tv
 
Tanzania bwana , mambo haya ya kuchelewesha show ndo maana nanihii alizimiwa mic , saivi saa 6 kasoro bado tu wanahoji watu red carpet
 
Back
Top Bottom