Miss Tanzania namba 2 (Lilian Kamazima) ''ana tatizo la uraia''

Hayo Ni Majina Yetu Watu Ngara Kama Mimi Hapa Surname Yangu Ni Nzeyimana, Ambayo Ni Majina Yanayopatikana Sanasana Burundi Na Rwanda.
 
Nakubali mkuu...
Tukianza chunguza chunguza wengi hatutakuwa salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…