kibobori.1
Senior Member
- Nov 7, 2014
- 167
- 21
Na ile zawadi kapewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi ili mradi bibi bomba kavua taji kwangu ni raaaaaha hata apewe asha boke sina tatizo nlikua naumizwa sana na nguvu ya rushwa na uchama flani kuingilia tasnia nyngine
Marehemu Major Gen. Anatory Kamazima ni mzaliwa wa Bugashani Maruku Bukoba Vijijini. Ukifika pale kwao utakuta mpaka kaburi la Babu yake. Ni kutoka ktk ukoo wa Bahinda ambao walitawala Chiefdom ya Maruku Bukara!
Vijana mpende kutafiti kala ya kukurupuka na kuandika tuhuma za hovyo na kijinga. Kamazima na Kagame wapi na wapi??
Kamazima ni jina la kinyarwanda kabisa
mhaya lazima umjue tu,sasa kutoka ukoo wa "abazana"inakusaidia nini? kaly'amagosi!Acha uongo wew kuongea mambo usiyoyajua, unarwanda unatoka wapi kwa kamazima wakati babu wa jenerali kamazima alikuwa chifu wa Kyamtwala huko Bukoba ambapo na mm ninayeongea ni mmojawapo wa ukoo huo wa kichifu, acheni uzushi bhana.
basi kumbe tuko pamoja mkuu, kweli kabisa ulicho comment hapoHakuna raia halisi Wa nchi hii sisi wote tunaopiga kelele humu siyo wazawa Wa nchi hii, iwe Tanzania au Tanganyika? Hapa sisi wote ni wakuja! Wenye nchi halisi ni Wahadzabe, Wasandawe na Watindiga! Kama issue ni majina mbona tulimwacha Mungai akashikaI uwaziri? Sembuse miss Tanzania?!! Tibaijuka mbona kashika wizara wakati jina ni la Kiganda? Sembuse miss Tanzania!!?? Tuache hizo kelele za ngeseki!!
Chagueni nyinyi mnaemtaka katoka chadema awe miss wenu.
Wanajamvi tumekuwa na msuguano kuhusu Urai wa Jenerali KAMAZIAMA; kuhusu uraia wake na hili linaturudisha kule kule kuwa asili ya miss Tanzania ni Mnyarwanda.
Uchunguzi uanze upya
itarahamwe bwana waoga sana kila taarifa ya upinzani ikitoka mnafikiria ya chadema acheni ufisad ili mpunguze hofu.Chagueni nyinyi mnaemtaka katoka chadema awe miss wenu.
Aliwezaje kuwa Jenerali kama si mtanzania? huyo ni mhaya acheni kuchimbachimba sana, hata kama.baba yake ni mnyarwanda kama alizaliwa tz basi yy binti ni mtz.
Ktk Miss Tanzania wao wana angalia uraia na HAWA ANGALII ASILI YAKE NI WAPI. Kama huyo Binti Kamazima kazaliwa Tanzania basi ni raia wa Tanzania na Anasifa stahiki. Ndio maana kuna viongozi wenye Asili ya bara la Asia lakini ni Watanzania kwa kuwa wamezaliwa hapa Tanzania
USHAURI
Uzushi uwa haupendezi na haufai. ni vizuri mleta Mada ufuatilie kwa kina kuhusu Nchi aliyo zaliwa ukiwa na viambatanisho kama Ushaidi.
.....Kuna Arcado Ntagazwa naye alishakuwa waziri kwenye serikali ya Mkapa... Pia kuna Jackline Ntuyabaliwe (sasa ni mrs.......... naogopa kutaja mumewe), naye alishakuwa miss Tz Mwaka 2000 nadhani, wote hao kulikuwa na uvumi kuwa ni WarundiHakuna raia halisi Wa nchi hii sisi wote tunaopiga kelele humu siyo wazawa Wa nchi hii, iwe Tanzania au Tanganyika? Hapa sisi wote ni wakuja! Wenye nchi halisi ni Wahadzabe, Wasandawe na Watindiga! Kama issue ni majina mbona tulimwacha Mungai akashika uwaziri? Sembuse miss Tanzania?!! Tibaijuka mbona kashika wizara wakati jina ni la Kiganda? Sembuse miss Tanzania!!?? Tuache hizo kelele za ngeseki!!
.....Kuna Arcado Ntagazwa naye alishakuwa waziri kwenye serikali ya Mkapa... Pia kuna Jackline Ntuyabaliwe (sasa ni mrs.......... naogopa kutaja mumewe), naye alishakuwa miss Tz Mwaka 2000 nadhani, wote hao kulikuwa na uvumi kuwa ni Warundi