Miss Tanzania namba 2 (Lilian Kamazima) ''ana tatizo la uraia''


Uko sahihi mkuu, nafikiri kuna sehemu watu wanachanganya habari, ningewaomba mods waeleze bayana ni Kamazima yupi?
 
Kuwa na asili na urwanda hakumfanyi mtu asiwe raia wa TZ kutokana na katiba yetu,wangapi hawana asili ya utz lkn wapo sehemu nyeti nchini?
 
Chagueni nyinyi mnaemtaka katoka chadema awe miss wenu.
 
Acha uongo wew kuongea mambo usiyoyajua, unarwanda unatoka wapi kwa kamazima wakati babu wa jenerali kamazima alikuwa chifu wa Kyamtwala huko Bukoba ambapo na mm ninayeongea ni mmojawapo wa ukoo huo wa kichifu, acheni uzushi bhana.
mhaya lazima umjue tu,sasa kutoka ukoo wa "abazana"inakusaidia nini? kaly'amagosi!
 
Reactions: R.B
basi kumbe tuko pamoja mkuu, kweli kabisa ulicho comment hapo
 
Wanajamvi tumekuwa na msuguano kuhusu Urai wa Jenerali KAMAZIAMA; kuhusu uraia wake na hili linaturudisha kule kule kuwa asili ya miss Tanzania ni Mnyarwanda.

Uchunguzi uanze upya

Ktk Miss Tanzania wao wana angalia uraia na HAWA ANGALII ASILI YAKE NI WAPI. Kama huyo Binti Kamazima kazaliwa Tanzania basi ni raia wa Tanzania na Anasifa stahiki. Ndio maana kuna viongozi wenye Asili ya bara la Asia lakini ni Watanzania kwa kuwa wamezaliwa hapa Tanzania

USHAURI
Uzushi uwa haupendezi na haufai. ni vizuri mleta Mada ufuatilie kwa kina kuhusu Nchi aliyo zaliwa ukiwa na viambatanisho kama Ushaidi.
 
Chagueni nyinyi mnaemtaka katoka chadema awe miss wenu.
itarahamwe bwana waoga sana kila taarifa ya upinzani ikitoka mnafikiria ya chadema acheni ufisad ili mpunguze hofu.
 
Aliwezaje kuwa Jenerali kama si mtanzania? huyo ni mhaya acheni kuchimbachimba sana, hata kama.baba yake ni mnyarwanda kama alizaliwa tz basi yy binti ni mtz.

Jenerali Ulimwengu alikuwa mkuu wa wilaya lakini tukaambiwa si raia!
 

Toka jana nimeandika hapa Kamazima ni jina la Kihaya na kuna mkuu mmoja ameeleza maana ya jina ka-mazima. Pili kwa uelewa wangu sehemu nyingine nimesikia jina hili ni Uganda. Sijawahi sikia Wanyarwandwa wakiitwa Kamazima.

Pili ningependa mleta mada aiombe msamaha ya marehemu Maj. Gen. Anatory Rutahikirwa Kamazima Bagunywa kwa tuhuma za uwongo na kupika. Jukwaa hill na Jamiiforums isitumike kudhuria watu tuhuma za uwongo.
 
.....Kuna Arcado Ntagazwa naye alishakuwa waziri kwenye serikali ya Mkapa... Pia kuna Jackline Ntuyabaliwe (sasa ni mrs.......... naogopa kutaja mumewe), naye alishakuwa miss Tz Mwaka 2000 nadhani, wote hao kulikuwa na uvumi kuwa ni Warundi
 
Alivyopewa mhindi amkusema lolote kupewa mhaya basi macho yote tunyuu ! Wivu unawatesa sana mpeni taji lake, uzuri wa watu wa Bk aunagamashaka.
 
.....Kuna Arcado Ntagazwa naye alishakuwa waziri kwenye serikali ya Mkapa... Pia kuna Jackline Ntuyabaliwe (sasa ni mrs.......... naogopa kutaja mumewe), naye alishakuwa miss Tz Mwaka 2000 nadhani, wote hao kulikuwa na uvumi kuwa ni Warundi

Na wewe unaamini hivyo?
 
Wa Tanzania MNA mi roho mibaya mamayo zenu natamani niwakill wrote mmepga kelele had I mtoto was watu kavua taji sasa mpeni huyo mnyarwanda sasa pumbavu mnaanza kuchonga tena kama ilivo fani yenu midomo, mi ni mrundi lakn sitt nlimkubali kuliko huyo mnyarwanda wenu mbambapu kwajina naitwa ntukamazina miburo
 
Huyu anaye jiita "laki si pesa" ana matatizo kabisa maana ameshupalia, ooh Mnyarwanda, Nduguyake Kagame... Aahh kwani wanyarwanda wote ni ndugu zake Kagame? Fuatilia umri wa Gen. Kamazima, na miaka yake ndani ya Jeshi. na miaka ya Kagame ndani ya Rwanda. Wapi na wapi, Kagame alimtuma akiwa ndani ya tumbo la mama yake? (mama kagame)

Kwa Jinsi ulivyoshupalia hii issue sina shaka na wewe uraia wako ndani ya Bongo una mashaka kama wa kwangu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…