Miss Tanzania Sitti Mtemvu anamzidi mdogo wake miezi 7

Miss Tanzania Sitti Mtemvu anamzidi mdogo wake miezi 7

GIBA KB

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
367
Reaction score
110
Habari ambazo zinasambaa hasa kwa whatsapp ni kwamba Sitti Mtemvu,miss Tanzania (bibi bomba) anamzidi mdogo wake miezi 7.Hii imesemwa na marafiki wa mdogo wake na miss Lundenga.
Taarifa zaidi zinafata(Hii ni tetesi)
 
Huu ni uzushi. Lete udhibitisho tena wa uhakika,,
 
Siti ndio miss Tanzania bora kuliko wote waliopita
 
Naona suala la huyo Miss imekua development story hivi wasimvue hilo taji au wanaogopa gharama za kumtafuta mwingine.
 
Hata chizi hawezi kudanganywa kiasi kile
 
Wala hakutakua na gharama, inatakiwa namba mbili ndo apewe taji
Naona suala la huyo Miss imekua development story hivi wasimvue hilo taji au wanaogopa gharama za kumtafuta mwingine.
 
Arudi marekani akafanye plastic surgery ya uso uonekane wa kitoto maana ameshawezeshwa financially, ili akienda miss world aonekane mdogo maana ile sura iliyoonekana kwenye press confrence hapana, haimshawishi mtu kuwa yule ni binti.
 
kwa mujibu wa magazeti ya leo Wizara ya Vijana, Habari na Michezo leo wanafanya kikao kujadili suala hili wakijiridhisha kwamba ni kweli amedanganya umri anavuliwa taji
 
Siti ndio miss Tanzania bora kuliko wote waliopita

Anamzidi hata huyu miss wenu?
ImageUploadedByJamiiForums1414055105.380224.jpg
 
Muacheni miss wa watu

Wa watu tena? Sii mlisema miss Tanzania? Kama ni miss Tanzania wacha Watanzania wenyewe wamsemee na kumjadili. beth wapo wale mabinti wengine wameshiriki kihalali kabisa na vigezo vyao vimetimia hujui wanajisikia vibaya kupoteza muda wao wote kushindana kumbe mshindi alishapangwa kwa uchakachuaji? Acha sheria za zichukue mkondo wake ili kurudisha heshima ya mashindano hayo na kuwafanya wengine wasifikirie kufanya hivyo huko mbeleni.
 
Last edited by a moderator:
nimecheka sana maswali mengine kagoma kujibu chezea wananchi
 
Back
Top Bottom