Miss Tanzania wa 2010 mhh..

huyu miss tanzania wa mwaka huu tukiwekwa jukwaani pamoja nadhani watanzania watanipa kura nyingi sana hadi niseme basi duuuuh

Usijidanganye; Hawaangalii uzuri tu bali wanapima pia IQ yako na kipaji cha kujieleza.
 
Usijidanganye; Hawaangalii uzuri tu bali wanapima pia IQ yako na kipaji cha kujieleza.

i bliv on my IQ, Nina confidence,am presentable,nadhani hivyo ni vigezo muhimu ambavyo huwa wanaangalia katika kumchagua miss tanzania
 
Hivi vigezo vilikuwa ni nini?

vigezo vya kumchagua miss tanzania
1.awe mzuri i mean presentable kwa sura na umbo
2.ajitambue IQ
3.CONFIDENCE
4.ongezea ila mainly hivyo vigezo
 

in RED...

KWANI NANI KASEMA ROSE MHANDO MBAYA...? NILIMANISHA WANAFANANA...!


soma uelewa kabla huja criticize .....! YOU SAID IT AND NOT ME...!
 
Miss Ghana 2010

Miss India 2010

Miss Kenya 2010

Miss Namibia 2010

Miss Nigeria 2010

Miss Trinidad and Tobago 2010

Zambia 2010 haka cjui katoto?
 
miss ghana ameng'aaaaaaaaaaaaaaa hata bahama nae yumo
 
Huo mkono wa jamaa kwene picha umeshika maeneo gani? mbona wanatuletea stori nyingine tena
 
UKISIKIA MASHINDANO YA UREMBO NDIO KAMA HAYA MAJAJI WANAKUWA NA KIZI NGUMU KUAMUA NANI ZAIDI :tonguez:

PICHA YA ALIEKAA PEKE YAKE NI MISS ETHIOPIA 2005 NA WALIO WENGI NI WASHIRIKI WA MISS ETHIOPIA 2010
 

Attachments

  • Miss-Ethiopia_cover1.jpg
    20.2 KB · Views: 79
  • jiitu-abraham1.jpg
    39.9 KB · Views: 121
tatizo la bongo uchakachuaji wakifika mbele ya safari watu awachakachui wanaangalia vigezo ndomana atufikagi mbali kwasababu atuangalii viwango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…