Miss Tanzania wa 2010 mhh..

Miss Tanzania wa 2010 mhh..

i bliv on my IQ, Nina confidence,am presentable,nadhani hivyo ni vigezo muhimu ambavyo huwa wanaangalia katika kumchagua miss tanzania

Sasa kilichokushinda kuapply ili uwe miss TZ ni kitu gani? hovyoooooo!
 
genevive4.jpg
me+and+gen.jpg


Lundenda tunajua mashindano yako hayana mvuto na yanatoa maMiss wasio na viwango ila kwa huyu Geneveive umechemsha kwa kweli...

Huyu jamaa mwenye fulana ya kijani ni 'houseboy' nyumbani kwao?
 
No, she is the best kwa waliojitokeza! Hatukuwa na njia nyingine. Warembo kibao TZ lkn hawajitokezi. Vile vichwa vya ukweli viko bize maofisini nk

Vitu vya kweli haviendi katika upuuzi huu ambao mie nahisi wanachakachuliwa na kina lundenga na mapedejee wake.
 
genevive4.jpg
me+and+gen.jpg


lundenda tunajua mashindano yako hayana mvuto na yanatoa mamiss wasio na viwango ila kwa huyu geneveive umechemsha kwa kweli...


hongera dada umebarikiwa sana,umzuri kwa sura,umbo na kila kitu.watu wanapenda saana kuchongaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom