Miss Tanzania wa 2010 mhh..



Lundenda tunajua mashindano yako hayana mvuto na yanatoa maMiss wasio na viwango ila kwa huyu Geneveive umechemsha kwa kweli...
I dont't really get it! Kwani huyu Miss ana ubaya au!!! mbona analipa! na anaonekana makini sana!! au ndio nyie wa JK wazee wakuuza sura na sio kichwa!?? huh!??
 
nilimuuliza uncle baada ya shindano akasema HILO NI CHAGUO LA MUNGU UNCLE..MBAVU SINA NIKASIKIA KAMA MTU ANANTEKENYA

chaguo la mungu alikua jeykey lakini mpaka anamzaliza kipindi cha kwanza mimi namuhesabu kama chaguo la yahaya
 


Lundenda tunajua mashindano yako hayana mvuto na yanatoa maMiss wasio na viwango ila kwa huyu Geneveive umechemsha kwa kweli...
Huyu ndio Miss Tanzania 2010? mbona amechoka namna hii maziwa yake yamelala usingizi!!!!!!!!!! kasheshe kweli
 


Lundenda tunajua mashindano yako hayana mvuto na yanatoa maMiss wasio na viwango ila kwa huyu Geneveive umechemsha kwa kweli...

huyu ni knockout raundi ya kwanza tu...

uso umezeeka machunusi kibao....duuuh!!!!!!!!!!
 
Kuna ma-MISS wengine hata mimi najiuliza kulikoni wakapita? Au tatizo la wapiga picha wetu tu? To be honest wapo kadhaa waliokuwa vimeo....


1994:
Aina Linda W. Maeda




1995: Mrembo Emily Adolf



1996: Shose Sinare


1997: Saida Kessy



1998: Mrembo Basila Mwanukuzi



1999: Mrembo Hoyce Temu


2000: mrembo Jacqueline Ntuyabaliwe




2001: Mrembo Happiness Magese



2002: Mrembo Angela Damas



2003: mrembo Sylivia Bahame


2004: mrembo Faraja Kotta







2005: Miss Tanzania Nancy Sumari






2006: WEMA SEPETU




2007: RICHA ADHIA


2008: NASREEN KARIM



2009: MIRIAM GERALD



 
Mimi nawaachia wadau wa urembo muamue, sijui vigezo gani ni muhimu kuliko vingine
 

Good Miss TZ collection
 
Hakuna ubaya wowote kufananisha watu ni kipaji tu, ni sanaa. Na mimi nakubaliana na hoja kuwa , Rose MUhando ni mrembo na Miss Mbeya anamranda sana. Ukiangalia haraka haraka pia Miss Mbeya amemranda sana mmoja wapo wa washiriki wa Ze commedy show wakiwa kwenye zile costumes zao za kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…