Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
i bliv on my IQ, Nina confidence,am presentable,nadhani hivyo ni vigezo muhimu ambavyo huwa wanaangalia katika kumchagua miss tanzania
Lundenda tunajua mashindano yako hayana mvuto na yanatoa maMiss wasio na viwango ila kwa huyu Geneveive umechemsha kwa kweli...
Huyu jamaa mwenye fulana ya kijani ni 'houseboy' nyumbani kwao?
.....Huyo naye ni model wa kiume nadhani anaitwa Martin.
No, she is the best kwa waliojitokeza! Hatukuwa na njia nyingine. Warembo kibao TZ lkn hawajitokezi. Vile vichwa vya ukweli viko bize maofisini nk
lundenda tunajua mashindano yako hayana mvuto na yanatoa mamiss wasio na viwango ila kwa huyu geneveive umechemsha kwa kweli...