Miss Tanzania Watimanywa kawa Unfollow watu wote waliompigia kura Miss World

Umri nao unachaangia!kwa kichwa huyu mrembo yuko sawa na bado anaasoma,utoto tu unamsumbua
 
hivi kumbe naye alikuwa na followers tofauti na ndugu zake?
 
Hahahaaaaa huyu dogo tulimpigia kura acha tu!
Pole yao aliyowaunfollow mi hakuwa follower wangu.
 

afu kamtindo kalekale ka kubana nywele sijui ndo anasoma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…