Miss Tanzania Watimanywa kawa Unfollow watu wote waliompigia kura Miss World

Miss Tanzania Watimanywa kawa Unfollow watu wote waliompigia kura Miss World

Umri nao unachaangia!kwa kichwa huyu mrembo yuko sawa na bado anaasoma,utoto tu unamsumbua
 
CEAIoJ5UUAAx9b6.jpg

Upuuzi tu, mwingine huyu CyrusImageUploadedByJamiiForums1430597923.388549.jpg
18m vs 250
 
hivi kumbe naye alikuwa na followers tofauti na ndugu zake?
 
Hahahaaaaa huyu dogo tulimpigia kura acha tu!
Pole yao aliyowaunfollow mi hakuwa follower wangu.
 
Ha haaaaa haaaa ni kweli aisee Yale ni mashindano ya urembo sio akili ni darasani au talent huyu naye Alibebwa tu mana sura yake hafu alikua mfupi. Mamiss wengine walikua wakali hadi nikaona aibu Mimi mana yeye kua mshindi wenzake wazuri kushinda yeye waliachwa aache shauzi huyu.

afu kamtindo kalekale ka kubana nywele sijui ndo anasoma sana
 
Back
Top Bottom