Pozi za sura kwenye hii picha kama h.o.d[/QUOTE
Hua wanafundishana kuweka mapoziiu ndio maana mapoz yamefananaaa
Pozi za sura kwenye hii picha kama h.o.d
Mchina kajua kukamata fursa,kisha anatuambia Twenzetu...Mchina aendelee na kutengeneza midude yao ya kuvaa kichwani inawasitiri sana kwa kweli
Alafu wanafanana vichwa kubonyea pale kati ila uyu wa kiume kapotea umu ndani kunani tena sijamsikia na updates au kimeota.
kabisa kichwa kawa baba ubaya yani ametisha kwa kunyoa bora avae yale mawig ya kichna
Hahaaaaaaa,yani nimecheka mpaka ofisini wananishangaa.Ugali namba 5 hahahahhhhahhhhahhhhha
Yupo sana si celebrity yule ndio maana haji mara kwa maraaa
Hapa lazima akatutukane Instagram hhahahhhaha
Daaah,masupastaa wana kazi kwakweli.