Miss TZ 2006 kaibukia hapa

Miss TZ 2006 kaibukia hapa

Hahhhhahhha ni kama ule ugali mkubwaaa ukiwa haujaanza kumegwaaa
1.
2Q==


2.
images


3.
images


4.
images


5.
images


Ni kama ugali upi kati ya picha hizo tano mkuu Dinazarde

"Nlikuwepo":bolt"
 
Last edited by a moderator:
Alafu wanafanana vichwa kubonyea pale kati ila uyu wa kiume kapotea umu ndani kunani tena sijamsikia na updates au kimeota.

Yupo sana si celebrity yule ndio maana haji mara kwa maraaa
 
Yupo sana si celebrity yule ndio maana haji mara kwa maraaa

Aseeeee lini tena mwenzetu kashakua supa nyota tumepoteza fursa ile na alisema tumgande tukaishia kumnanga au ndo kafuatilia ununuzi wa private jet ya WCB
 
baada ile picha yake kuvuja nini. ila mmh smh wema mzee sijui ni hayo ma makeup
 
Hizo style amuachie tu Kajala

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Anamuiga wolper makumbuka sth lyk dat mwaka juziiii" ameishiwa mbinu
 
Back
Top Bottom