Viti maalum asipewe! hivyo viti kama vipo wapo akina mama na wadada ambao wameihangaikia CHADEMA kwa nguvu zao zote, wametumia rasilimali zao, na hata kukumbana na majanga ya kila aina kwa ajili ya kupigania chama chao, hao ndio wanastahili kupewa sio WemaWema apewe ubunge wa viti maalum.
Tukiachana na madhaifu yake ambayo yeye kama sisi binadamu wengine anayo...wema yuko njema kichwani.
Ile speech aliyoitoa siku ya kuhamia CDM niliipenda sana.
Ana kitu ndani yake,apewe nafasi.
Kwa sasa chadema nao wanao uwezo wa kumpa mtu viti maalum vya ubunge?Wema apewe ubunge wa viti maalum.
Tukiachana na madhaifu yake ambayo yeye kama sisi binadamu wengine anayo...wema yuko njema kichwani.
Ile speech aliyoitoa siku ya kuhamia CDM niliipenda sana.
Ana kitu ndani yake,apewe nafasi.
Duuuuuh nifah!!!!!!Wema apewe ubunge wa viti maalum.
Tukiachana na madhaifu yake ambayo yeye kama sisi binadamu wengine anayo...wema yuko njema kichwani.
Ile speech aliyoitoa siku ya kuhamia CDM niliipenda sana.
Ana kitu ndani yake,apewe nafasi.
Daahh Mimi bado nampenda na uzee wake.....Nifah
Acha kupotosha bhana, Wema kichwani ni mweupe kabisa, huwezi kusema Wema yuko vizuri kichwani wakati hata maisha yake binafsi yanamshinda kuendesha, anafanya mambo ya kitoto kama msichana aliyeingia foolish age.
Wema anajirekodi video akiwa faragha na wapenzi wake then anarusha online, baadae anajitokeza kulaumu, sasa analaumu nani wakati ujinga wake? Alafu mtu kama huyu awe mbunge??
Atatafuta kiki mpaka kwa kufanya ngono na viongozi wa serikali ili video iwekwe insta apate likes
Sijawahi kumkubai wema kwamba ana akili za mtu mzima, ila kwa urembo nakua honest Wema ni mrembo japo anaanza kuzeeka
Wema haitaji hata muda ili akueYuko njema kichwani?Hapana mie naona aendelee kuzunguka tu mikoani atafute wanachama ila ubunge ngoja kwanza akue kiakili
Haya maneno yako ni kiashiria tosha kwamba nawe ni mvuta bhangiAmewambia anao mkakati gani wa kuipaisha chadema? Huyu kiumbe mbona hajanza leo kutukanwa mitandaoni na kwenye magazeti ya udaku. Hakuna kipya. Sifa mpya aliyonayo ni ya uvutaji bangi na unga na yupo kwenye chama cha wavutabangi na mwenyekiti mwenye tuhuma za kujihusisha na mihadarati.
Labda agombee kiranja wa familia yao kwenye siasa atatuletea maigizo tuWema haitaji hata muda ili akue
HIVO NDIVYO ALIVYO mama yake hammuoni???
Wema hapana asee kwenye uongozi wowote ule hapana
Ccm ndo.chama kipi hichoHafai kuwa hata balozi wa nyumba kumi.labda akapewe na ccm
Maigizo kwakweliLabda agombee kiranja wa familia yao kwenye siasa atatuletea maigizo tu
[emoji106] hawa siasa wanaifanya kama kitega uchumi.Maigizo kwakweli
Nikikumbuka kina aunt Ezekiel, wolper mmmh siwaamini hawa wasanii muda wote wapo kwenye Sanaa..... Wema ndo naona hamna kitu kabisa sifurahii hata shamra za chadema kwa wema aingie tu kama wanachama wengine ila sio mbwembwe za hivo
Duuuuuh nifah!!!!!!
Kwamba wema yupo njema kichwani?????..
Upo serious mama?
Sijui kama umekulaAmewambia anao mkakati gani wa kuipaisha chadema? Huyu kiumbe mbona hajanza leo kutukanwa mitandaoni na kwenye magazeti ya udaku. Hakuna kipya. Sifa mpya aliyonayo ni ya uvutaji bangi na unga na yupo kwenye chama cha wavutabangi na mwenyekiti mwenye tuhuma za kujihusisha na mihadarati.