Miss tz 2006 Wema Sepetu atishiwa kupotezwa

Miss tz 2006 Wema Sepetu atishiwa kupotezwa

Wema apewe ubunge wa viti maalum.
Tukiachana na madhaifu yake ambayo yeye kama sisi binadamu wengine anayo...wema yuko njema kichwani.
Ile speech aliyoitoa siku ya kuhamia CDM niliipenda sana.
Ana kitu ndani yake,apewe nafasi.
Viti maalum asipewe! hivyo viti kama vipo wapo akina mama na wadada ambao wameihangaikia CHADEMA kwa nguvu zao zote, wametumia rasilimali zao, na hata kukumbana na majanga ya kila aina kwa ajili ya kupigania chama chao, hao ndio wanastahili kupewa sio Wema
 
Wema apewe ubunge wa viti maalum.
Tukiachana na madhaifu yake ambayo yeye kama sisi binadamu wengine anayo...wema yuko njema kichwani.
Ile speech aliyoitoa siku ya kuhamia CDM niliipenda sana.
Ana kitu ndani yake,apewe nafasi.
Kwa sasa chadema nao wanao uwezo wa kumpa mtu viti maalum vya ubunge?
 
Wema apewe ubunge wa viti maalum.
Tukiachana na madhaifu yake ambayo yeye kama sisi binadamu wengine anayo...wema yuko njema kichwani.
Ile speech aliyoitoa siku ya kuhamia CDM niliipenda sana.
Ana kitu ndani yake,apewe nafasi.
Duuuuuh nifah!!!!!!
Kwamba wema yupo njema kichwani?????..
Upo serious mama?
 
Nifah
Acha kupotosha bhana, Wema kichwani ni mweupe kabisa, huwezi kusema Wema yuko vizuri kichwani wakati hata maisha yake binafsi yanamshinda kuendesha, anafanya mambo ya kitoto kama msichana aliyeingia foolish age.
Wema anajirekodi video akiwa faragha na wapenzi wake then anarusha online, baadae anajitokeza kulaumu, sasa analaumu nani wakati ujinga wake? Alafu mtu kama huyu awe mbunge??
Atatafuta kiki mpaka kwa kufanya ngono na viongozi wa serikali ili video iwekwe insta apate likes

Sijawahi kumkubai wema kwamba ana akili za mtu mzima, ila kwa urembo nakua honest Wema ni mrembo japo anaanza kuzeeka
Daahh Mimi bado nampenda na uzee wake.....
 
Amewambia anao mkakati gani wa kuipaisha chadema? Huyu kiumbe mbona hajanza leo kutukanwa mitandaoni na kwenye magazeti ya udaku. Hakuna kipya. Sifa mpya aliyonayo ni ya uvutaji bangi na unga na yupo kwenye chama cha wavutabangi na mwenyekiti mwenye tuhuma za kujihusisha na mihadarati.
Haya maneno yako ni kiashiria tosha kwamba nawe ni mvuta bhangi
 
Wema haitaji hata muda ili akue
HIVO NDIVYO ALIVYO mama yake hammuoni???
Wema hapana asee kwenye uongozi wowote ule hapana
Labda agombee kiranja wa familia yao kwenye siasa atatuletea maigizo tu
 
Mbo-owe anajilamba midomo tu, mbuzi kajileta zizini mwenyewe. Wema kama kawaida yako mupe mbowe, muluke Lema, mupe Lissu, muluke mashinji.
 
Kaanza na kunenepa

Anakula raha Chadema.
Mbunge anamuangalia na akifikiria nini?

balozi_wa_michambo-1488805000043.jpg
 
Labda agombee kiranja wa familia yao kwenye siasa atatuletea maigizo tu
Maigizo kwakweli
Nikikumbuka kina aunt Ezekiel, wolper mmmh siwaamini hawa wasanii muda wote wapo kwenye Sanaa..... Wema ndo naona hamna kitu kabisa sifurahii hata shamra za chadema kwa wema aingie tu kama wanachama wengine ila sio mbwembwe za hivo
 
Aache kuvuta bangi kwanza ndio atapata amani ya moyo wake. Na hii vita aliyotangaza ni vita gani na anapigana na nani. Tupak alipouwawa watu walisema amekufa kwenye struggle Travis Smiley wa BET akauliza struggle gani watu hawana jibu.
 
Wema yuko smart mpaka Bashite alikua anampelekea baadhi ya vitu amtafsirie zile doc za englsh.. wema kashafanya kaz nyingi sana za Daudi.
Soure .. Sijui hata nimeitoa wapi hii
 
Maigizo kwakweli
Nikikumbuka kina aunt Ezekiel, wolper mmmh siwaamini hawa wasanii muda wote wapo kwenye Sanaa..... Wema ndo naona hamna kitu kabisa sifurahii hata shamra za chadema kwa wema aingie tu kama wanachama wengine ila sio mbwembwe za hivo
[emoji106] hawa siasa wanaifanya kama kitega uchumi.

Wakipanda jukwaani wanalipwa alafu wanajiita makada pumbafu awa villaza.mm naamini Wema atarudi ccm muda sio mrefu maana ccm wao siasa zao ni za kilaghai.watamnunua tuu kama kawaida yao.hata kile ki wolper kilinunuliwa.
 
Duuuuuh nifah!!!!!!
Kwamba wema yupo njema kichwani?????..
Upo serious mama?

Kama 'yupo njema kichwani' si agombee basi...
Kwa nini apewe?
Atangaze nia...anadi sera na maono yake mbele ya constituents...ashiriki midahalo n.k.
Na kama sera zake ziki resonate watu watampa kura zao.
Watu wenye akili huwa hawapewi vitu tu. Hutumia hizo akili zao kupata vitu.
Kwanza hiyo idea nzima ya ubunge wa viti maalum ni very condescending.
 
Amewambia anao mkakati gani wa kuipaisha chadema? Huyu kiumbe mbona hajanza leo kutukanwa mitandaoni na kwenye magazeti ya udaku. Hakuna kipya. Sifa mpya aliyonayo ni ya uvutaji bangi na unga na yupo kwenye chama cha wavutabangi na mwenyekiti mwenye tuhuma za kujihusisha na mihadarati.
Sijui kama umekula

Swissme
 
Back
Top Bottom