Miss tz 2006 Wema Sepetu atishiwa kupotezwa

Anajua kuremba sauti tu....
Hana huo ubavu wema
 
Wewe pia unastahili kupewa ubunge wa viti maalum. Napenda sana msimamo wako na uwezo mkubwa uliokuwa nao kujenga hoja. Ila ikitokea basi uachane na zile kambi mbili. 🙂🙂

Wema apewe ubunge wa viti maalum.
Tukiachana na madhaifu yake ambayo yeye kama sisi binadamu wengine anayo...wema yuko njema kichwani.
Ile speech aliyoitoa siku ya kuhamia CDM niliipenda sana.
Ana kitu ndani yake,apewe nafasi.
 
Kama CHADEMA kweli mko siriazi na mnategemea siku moja kuongoza Tanzania ifike mahali muwe Siriazi na muonyeshe hivyo hata tukiwaangalia usoni tujue kweli mko siriazi. Siyo tukiwaangalia usoni tubakie na maswali na kujisemea "Mh hawa!" (In Mwalimu Nyerere's voice)

Wema naye kweli ndo mmepata mahali pa kutokea? Kazi kweli kweli!
 
Wewe pia unastahili kupewa ubunge wa viti maalum. Napenda sana msimamo wako na uwezo mkubwa uliokuwa nao kujenga hoja. Ila ikitokea basi uachane na zile kambi mbili. 🙂🙂

Jamaniiiiiiii thank you my brother.

Zipi tena hizo?[emoji4]
 
Wema apewe ubunge wa viti maalum.
Tukiachana na madhaifu yake ambayo yeye kama sisi binadamu wengine anayo...wema yuko njema kichwani.
Ile speech aliyoitoa siku ya kuhamia CDM niliipenda sana.
Ana kitu ndani yake,apewe nafasi.
Atakigawa chama vipande vipande. Yaani kuna watu wapo chadema mda mrefu wamepigania chama na hawajapewa hvyo viti maalum wema aje tu huko alikotoka apewe viti maalum? Akipewa basi papuchi yake itakuwa ina kismat sana
 
Ni nadhani Wema kaenda Cdm kufanya biashara tu, sasa HV anatafuta kiki kwanza wamkubali wa mama wa cdm, baadae utaskia nina kanga maalumu kwa wa mama wa chadema, Mara heleni, Mara gauni na vipodozi. Zaidi ya hapo hana msaada wa maana
 
Hivi unafikiri nguvu ya kumnadi nchi mzima inatoka wapi?Mbona kafulila haikuwa hivyo hapo mtu was kiki kakutana na wanao penda kiki lazima awapeleke anavyo taka
 
Kweli nimeamin kaburi la kifo limekaribia ccm .....2020 hawana jipya believe me ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…