Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Anajua kuremba sauti tu....Kama 'yupo njema kichwani' si agombee basi...
Kwa nini apewe?
Atangaze nia...anadi sera na maono yake mbele ya constituents...ashiriki midahalo n.k.
Na kama sera zake ziki resonate watu watampa kura zao.
Watu wenye akili huwa hawapewi vitu tu. Hutumia hizo akili zao kupata vitu.
Kwanza hiyo idea nzima ya ubunge wa viti maalum ni very condescending.
Hana huo ubavu wema