Miss tz, demu wa prezzo wachuana kwa za utupu

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
MREMBO aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’ ameonekana kuchuana na demu wa zamani wa mwanamuziki Jackson Makini ‘Prezzo’, Huddah Menroe kwenye ishu ya kupiga picha za utupu.

Huddah Menroe.
Hamisa ambaye hivi karibuni alipata zali ya kupamba jarida moja la burudani nchini Kenya kwa picha iliyo kinyume na maadili, anadaiwa kupiga picha nyingi za kihasara huku ikielezwa kuwa, kwa Kenya sasa anachuana na Huddah.
Hamisa.
Huddah.
“Unajua kwa huku Kenya Huddah anasifika kwa picha chafu, sasa hizi alizopiga Hamisa zimemfanya Huddah naye kutupia yake nyingine ya utupu, yaani ni kama wanachuana vile,
 
Ki ukweli I heart this gal hamisa mobeto,she is natural beauty,sichoki kumtazama,our next super star to come
 
Aaaaa hapo Hudaa kapitwaaa maana huyo wa kibongo mkali balaa
Ila wana kaziii
 
Kazii ipo. Kulea mimba si kazi. Kazi ni kulea wana. Mlee mtoto njia ipasayo hata asiisahu hadi uzee wake.
 
She is so beautiful... Damn.
 
Majanga sana,hawa dada ze2 hzi digital cjui zitawafikisha wap
 
Mbona hujaweka zingine kapiga na vichupi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…