Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
MREMBO aliyengara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan Hamisa Mabeto ameonekana kuchuana na demu wa zamani wa mwanamuziki Jackson Makini Prezzo, Huddah Menroe kwenye ishu ya kupiga picha za utupu.
Hamisa ambaye hivi karibuni alipata zali ya kupamba jarida moja la burudani nchini Kenya kwa picha iliyo kinyume na maadili, anadaiwa kupiga picha nyingi za kihasara huku ikielezwa kuwa, kwa Kenya sasa anachuana na Huddah.
Unajua kwa huku Kenya Huddah anasifika kwa picha chafu, sasa hizi alizopiga Hamisa zimemfanya Huddah naye kutupia yake nyingine ya utupu, yaani ni kama wanachuana vile,


