Mrembo wa dunia nchini tz apatikana . Mrembo wa kitongoji cha sinza manispaa ya kinondoni ameibuka mshindi wa kwanza katika shindano la miss tanzania ambalo limefanyika usiku wa leo tarehe 03/11/2012 katika ukumbi wa ubungo plaza d'salaama.
Mrembo huyo anaitwa brigiter alfred mwenye umri wa miaka 18. Ushindi wake umemwezesha kupata zawadi fedha taslimu ya sh. Millioni nane pamoja na gari mpya aina ya noah. Hongera zao woooote.

ana bahati mbaya mwezeshaji wao PAPA MSOFE yupo nyuma ya NONDO
Upuuzi mtupu ati Mrembo! hakuna mrembo kuliko mwingine bana! dada zetu wote ni warembo! sana sana huu ni mchezo mchafu wa kimaadili! dada zetu wanaachwa nusu uchi na wengine wanajichubua kwa madawa mpaka wanakuwa weupe kama wazungu! huo ndio urembo?
Tuache kuwadhalilisha dada zetu kwa kuwatembeza uchi ktk mastegi huku wanaume wakiwakodelea macho mkononi chupa za kilevi ati wanamchagua mrembo kuliko wote! upuuzi huo!
Hahahahahahaha yupo mwenzake Muzamil Katunzi atawashughulikia ipasavyo
Hiyo Crown itakuwa imeibiwaNimemfuatilia kwa makini, she is good, ila nimeshangaa mbona hamna crown mwaka huu?
Kumbe dada zetu wanapulizwa mbaya.Hawa Mamis wetu wanapigwaga mtarimbo mpaka noma! Haka katoto utakuta mpaka mtandao pendwa watu washapiga! Kuna jamaa kamzungumzia papaa Musofe hapo juu huyo nimeamin ana clue ya what is going on in miss Tz! Sitaki maswali!
Mtoto yuko vizuri na pia inasemekana siyo mchoyo.Nimemfuatilia kwa makini, she is good, ila nimeshangaa mbona hamna crown mwaka huu?