Mrembo wa dunia nchini tz apatikana . Mrembo wa kitongoji cha sinza manispaa ya kinondoni ameibuka mshindi wa kwanza katika shindano la miss tanzania ambalo limefanyika usiku wa leo tarehe 03/11/2012 katika ukumbi wa ubungo plaza d'salaama.
Mrembo huyo anaitwa brigiter alfred mwenye umri wa miaka 18. Ushindi wake umemwezesha kupata zawadi fedha taslimu ya sh. Millioni nane pamoja na gari mpya aina ya noah. Hongera zao woooote.