Ansah Miles
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 392
- 175
Habari zinasema akiwa Uchina walikata ile mambo(dushelele) so naye hamna kitu (nyoka la kibisa).Hahahahahahaha yupo mwenzake Muzamil Katunzi atawashughulikia ipasavyo
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zinasema akiwa Uchina walikata ile mambo(dushelele) so naye hamna kitu (nyoka la kibisa).Hahahahahahaha yupo mwenzake Muzamil Katunzi atawashughulikia ipasavyo
![]()
Unachaguliwaje 2012 ukawakilishe kwenye Miss World 2013 nchi ya ajabu sana hii.
Nasubiri wenzetu walalamike kuhusu "mfumo Kristo" unawapendelea hata mamiss!
umewapima?...acheni kuwakandia,si ajab ww ndo mwenye ngomaa!Kumbe dada zetu wanapulizwa mbaya. Ndio maana baada ya mashindano kwisha wanaendeleza biashara ya kupandwa kama mbwa jike. Halafu siku hizi inasemekana wengi wana ngoma.
hii ni kazi za shetani za kuwatembeza kina dada nusu uchi! kama mfumo kristo unashabikia haya ya miss world si shangai maana hata yule padre wenu alipogombea urais mfumo kristo ulibariki kashfa yake ya ngono na kufumbia macho!
EE Mungu wetu uliembinguni wasamehe hawa kwani hawajui walitendalo!
Hahahahahahaha yupo mwenzake Muzamil Katunzi atawashughulikia ipasavyo
![]()
Habari zinasema akiwa Uchina walikata ile mambo(dushelele) so naye hamna kitu (nyoka la kibisa).
Hahahahahahaha yupo mwenzake Muzamil Katunzi atawashughulikia ipasavyo
![]()
Nimemfuatilia kwa makini, she is good, ila nimeshangaa mbona hamna crown mwaka huu?
Nimemfuatilia kwa makini, she is good, ila nimeshangaa mbona hamna crown mwaka huu?
Sa walishindwa nini kutoa/kutafuta yao......crown lilikuwa la voda na mwaka huu wadhamini ni redds, :becky: