zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217

Kwakweli ni shughuli ambayo ingeweza kuahirishwa lakini kwavile hiyo ndio main source of income kwa ankal Hashim, inabidi aendelee nayo tu

Mashindano kwa kweli ni mazuri sana. Nawapongeza wote walioyafanikisha. Hongereni kwa uzalendo wenu.

Star Tv si wangeonyesha uzalendo wao kwa kuonyesha live shughuli za uokoaji?
Sawa mkuu msiba wa jirani sote tunasikitika lakini maisha lazima yasonge mbele.

tupeni updates za miss tanzania bana ....life must go on.....

mnavyojifanya mna huzuni utadhani hamjanywa bia leo. ambaye sio mzalendo ni mwenye ukumbi,lundenga wa watu keshalipia mziki na ukumbi,akiahirisha itakuwaje? wenye maharusi leo nao wameahirisha wote?
Hii show yao nimeipenda sanamamiss wanashow umaridad wa kudance.

Uko mkoa gan ambao hauna umeme au tv hata kwa jiran.

Sasa hv show zaendelea naona wanacheza cheza kama wanafanya matambiko. Vile nina wasiwasi Na ajali hyo na sherehe ya vodacom miss Tz.