Miss tz vodacom inaendelea, star tv live

Miss tz vodacom inaendelea, star tv live

Watanzania lakini niseme watanganyika na wazanzibar mfumo wetu wa utawala umeshatuathiri sote,viongozi na wananchi kwa ujumla,na upendo unaohubiriwa misikitini na makanisani na umoja unaohubiriwa na chama chetu-ccm ni kiini macho,kama kuna mtu anakumbuka misiba ya kitaifa ilowahi kutokea TZ atakuwa shahidi juu ya simanzi kwa mtanzania mmoja mmoja ilivyokuwa haiwezi kufichika,kumbuka marehemu Sokoine mwaka 1984,Achilia mbali Baba wa Taifa,hebu Kumbukeni MV Bukoba,mm nilikuwa kazini na kazi yenyewe unavyosomea unafundishwa ujasiri lkn nakuambia hakukuwa na kazi mara tu baada ya kutolewa taarifa hizo,wala hakuna alietangaza kuwa hakuna kazi at that moment si wenye vyeo wala ss tulokuwa wafagia sakafu.
Hivi inahitaji digrii ngapi kuelewa huo ni msiba wa kitaifa?maana umehusisha watu wengi kwa wakati mmoja,hivi kweli angelikufa mkuu wa kaya au hata msaidizi au hata mkewe kweli tukio la miss Vodacom Tanzania lingeendelea?au si kweli kwamba tukio la kumsaka mrembo wa TZ haliuwa la kitaifa?
Jamani tukae tutafute njia ya kujinasua kwenye huu mfumo unaotupeleka kwenye kupote upendo na umoja wa kitaifa
Tujadili
 
naona wengi wenu humu mnapenda mipasho tu,ukweli ni msiba wa kitaifa.
 
nilitaka kulalamika lakini nilipoona hizi picha za maiti hawa sina haki ya kuwaamulia waZanzibari kwenye maamuzi yao

IMG_7054.JPG



IMG_6995.JPG


IMG_6926.JPG


IMG_6975.JPG

IMG_9142.jpg



DSC_0522.JPG
 
Back
Top Bottom