Miss Ukonga 2013 afariki dunia

lily

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
229
Reaction score
27
Jamani kuna mahali nimesoma kuwa miss Ukonga 2013 Martha Gewe kafariki dunia.

So sad, Rest in peace Martha.
 
Anahusika na nini huyo marehemu....???
 
Akifa ndugu yako wa karibu hata kuja kuomba faraja humu huji!

Kuona miss fulani kadead ..................

Mambo mengine udwanzi tu
 
Jamani kuna mahali nimesoma kuwa miss Ukonga 2013 Martha Gewe kafariki dunia.

So sad, Rest in peace Martha.


Wa katikati ndiye Martha Gewe

Basi uwe unapata uhakika huko huko ulikopata taarifa ili ukija hapa uwe na taarifa kuliko kutujuza huku hata wewe mwenyewe una uhakika. Sasa utaweka wapi sura yako ikiwa bado yuko hai?
Kwa jinsi ulivyokuwa na haraka ya kuanzisha thread ya kifo chake basi ukashindwa haya kutafuta Picha zake ili wasiomfahamu nao wapate kumjua unayemzungumzia, sasa nimeleta picha zake.
Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…