Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni nani mtu huyu?
Jamani kuna mahali nimesoma kuwa miss Ukonga 2013 Martha Gewe kafariki dunia.
So sad, Rest in peace Martha.
Jamani kuna mahali nimesoma kuwa miss Ukonga 2013 Martha Gewe kafariki dunia.
So sad, Rest in peace Martha.


Anahusika na nini huyo marehemu....???
Akifa ndugu yako wa karibu hata kuja kuomba faraja humu huji!
Kuona miss fulani kadead ..................
Mambo mengine udwanzi tu
Mahali wapi? Weka source!
Inawezekana hata hajafa jf wait wanapenda sana kuanzisha thread mmhhj
Source ya kifo chake?
Source ya kifo chake?