Miss Universe 2008: Tumuunge Mkono Amanda, Mwakilishi Wetu...

Miss Universe 2008: Tumuunge Mkono Amanda, Mwakilishi Wetu...

...naangalia hapa pia,mpaka sasa nimependa kifua cha Mel B tuu
 
Pole Mkjj! Naona ndoto yako imekatizwa na ukweli......ingawa alikuwa amependeza na angeweza kabisa kuingia kwenye top 15....labda mwingine tena...mwakani!
 
sasa basi ashinde hata ka Swimsuit jamani.. duh.. angalia Tanzania tupate habari nzuri itakayoinua uchumi wetu (don't ask me why or how?)
 
sasa basi ashinde hata ka Swimsuit jamani.. duh.. angalia Tanzania tupate habari nzuri itakayoinua uchumi wetu (don't ask me why or how?)

Uchumi wa Tanzania umekaliwa na mafisadi! mpaka hapo tutakapoweza kuwashinda ndipo uchumi huo utakuwa kwa dhati siyo kwa namba ambazo zina walakini mkubwa. Mkjj, usuniulize lini tutawashinda, lakini Alutta continua! na wameanza kuonyesha dalili ya kutapatapa
 
Chaguo langu ni msouth Africa.
 
Mhh! Je ndoto hoyo yaweza kuwa sawa na ile ya Martin?

"...a world where all chickens will be free to cross roads without having their motives called into question"
 
...venezuela atashinda...mwanakijiji unataka bet?
 
...venezuela atashinda...mwanakijiji unataka bet?
Naam utabiri wako unaweza kuwa kweli, lakini mimi nimekasirika sana wamemuacha yule binti wa kutoka SA. Spain na Columbia kama bado wamo nao wanaweza kushinda, miss USA kapiga mweleka sijui kama atakuwemo hata kwenye tatu bora.
 
Kwa bahati mbaya nimeona waliobaki ni kutoka Russia, Mexico, Colombia, Venezuela, na Dominica tu
 
Mliona nyonyo za Miss USA lakini? Huyo ndo alikuwa chaguo langu.....
 
Hahahahahahahaah....super big up to myself......I called this one correctly......wooooo hoooooooo
 
Miss Venezuela hamfikii mke wangu kabisa kwa uzuri; upendeleo mtupu hapa!!! (Teh!!! teh!!! teh!!!)
 
Back
Top Bottom