Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Makubaliano yetu ya mwisho ilikuwa nimekuachia wewe asee.. ππππππ mtoe jela yule mtu kwanza.
mie napambana na first year kwanza ππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makubaliano yetu ya mwisho ilikuwa nimekuachia wewe asee.. ππππππ mtoe jela yule mtu kwanza.
hahahaha waliwakilishwa π½π½Washiriki toka Sayari ya Mars ni akina nani?
Wamesha janjaruka hao achana nao. Turudi mtaani tu.Makubaliano yetu ya mwisho ilikuwa nimekuachia wewe asee.. πππ
mie napambana na first year kwanza ππ
Wahindi wana bahati sana bibie kajitahidi kujibu Swali kwa kujiamini
Sijaona mkuu nilikuwa nafatilia huku nasinziaSteve Harvey kiboko
Yaani kamwambia atoe sauti ya mnyama duu
Uniona alipotoa sauti ya Paka?
Hata mie huwa nawaza hivi! Kwamba hilo taji ni kubwa zaidi kuliko lile la miss world?Miss Universe ni kuanzia Mercury hadi Pluto na Galaxies zao au?
Sijaona mkuu nilikuwa nafatilia huku nasinzia