.......Mcolombia mzurijeee!! Natamani achukue Colombia au Jamaica.
Wakuu mnaweza kunisaidia kutofautisha miss world na miss universe...??
.......Mcolombia mzurijeee!! Natamani achukue Colombia au Jamaica.
aliyejibu mwishoni right?!, inaonekana hizo blue eyes labda!
M-Colombia ni mbabez wa nguvu huyo!.
Wakuu Jamaica anachukua, am ready to bet.....lol!
M Colombia shape!,.......mashallah!!, halafu hawana tumbo, sijui wala nini hawa!
Jamani!!!!, umesikia watu wame boo, eti Jamani sio?!