Miss universe

Miss universe

Imependeza!

Ndu huyu? 1422243072685.jpg
 
M Colombia shape!,.......mashallah!!, halafu hawana tumbo, sijui wala nini hawa!

Nakwambia hipsi na wowo la chati gauni yake perfect kabisa...

Make up zao nzuri sana hususan ya miss usa
 
  • Thanks
Reactions: kui
Nakwambia hipsi na wowo la chati gauni yake perfect kabisa...

Make up zao nzuri sana hususan ya miss usa

Alopita alitoka Venezuela?, south America wanachukuaga kila leo!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jamani!!!!, umesikia watu wame boo, eti Jamani sio?!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
....Jamaica masikini!! Kitu USA I think! Colombia! Anastahili.
 
Afadhali hata Colombia, nilifikiri watampa USA!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom