Miss world 2014 promotion imeanza

Miss world 2014 promotion imeanza

lol911

Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
18
Reaction score
3
Issue ya sitti mtemvu vipi? Hakuna suluhisho hadi sasa hivi, siku zinaenda na washiriki miss world 2014 wameanza kupromotiwa ndani ya tovuti ya miss world, wanavuta vuta siku ili wampeleke kumshiriki kinyemela, kama kawaida yao kutosikiliza maoni ya wa tanzania.
 
Back
Top Bottom