palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Mbona mzungu
Kwani kuna aina ngapi za uraia?
Matokeo ya Miss World
1. South Africa
2. Hungary
3.USA..
Tanzania tujitoe tu kwenye haya mashindano..
Dah bado ukoloni haujaisha tukitaka kudhinda lzm awe msungu?
Hahahaaaa....dah
They cheat again....lol
Kama mtanzania ameingia kumi bora hongera zake amejitahidi sana
Ameingia top ten?
kumi bora wapi?
hata top 25 hayupo..