Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Waafricana wenyewe wanajiweka mbali na haya mashindano ya urembo, ndio maana makaburu wanatawala tu.
Ova
Sijui tz tutaondoa lini gundu jamani japo tupate wa kuvuka alipofika Nancy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waafricana wenyewe wanajiweka mbali na haya mashindano ya urembo, ndio maana makaburu wanatawala tu.
Ova
walisemaa ameingia top 10
i feel sory for her i thought angefika mbali maana tumejitahidi kweli kumsapoti
i feel sory for her i thought angefika mbali maana tumejitahidi kweli kumsapoti
Hili genge la lundenga linalosanifu miss tanzania ndio mizinguo.. Tutakuwa wasindikizaji kila mara. Genge la wajanja wachache wakina lundenga hamjalijua vizuri. Mimi in short hapa tz sinaushabiki na chochote kile.. Hata kura leo sijapiga. Pumbavu kabisaa.
Hivi ni taasisi/mtu gani aliyempa dhamana Lundenga kuratibu haya mashindano hapa Tanzania?
Hongera watimanya!
Sijui tz tutaondoa lini gundu jamani japo tupate wa kuvuka alipofika Nancy
Anadai ishu hizo alianzisha yeye Kama yeye mwenyewe . walikuwa wawili yeye na mhindi mmoja ila wamegombana (kuna kesi mahakamani). Kampuni Kama sikosei ni lino entertainment
Bora angeenda Sitty Mtemvu may be Mzee angecheza faulo za kimagamba ashinde😱😱😕
Matokeo ya Miss World
1. South Africa. Rolene Strauss
2. Hungary - Edina
Kulcsár
3.USA..
Elizabeth Safrit
Tanzania tujitoe tu kwenye haya mashindano..
Matokeo ya Miss World
1. South Africa. Rolene Strauss
2. Hungary - Edina
Kulcsár
3.USA..
Elizabeth Safrit
Tanzania tujitoe tu kwenye haya mashindano..