final list!!!!!kenya no. 8Matokeo ya Miss World
1. South Africa. Rolene Strauss
2. Hungary - Edina
Kulcsár
3.USA..
Elizabeth Safrit
Tanzania tujitoe tu kwenye haya mashindano..
final list!!!!!kenya no. 8Safi sana kwa miss kenya..kapiga hatua kubwa..
kwa hiyo kama yeye ndiye mwasisi, ndiyo anajipa top authority kwenye hili?
hivi haoni lina impact gani kwenye taifa ndani na kimataifa?
Haha labda muandamane ndo atang'atuka
naomba samahani - mimi huyu Miss Tanzania kiukweli waliompitisha sijui walipitiwa au 90% ya majaji walikuwa na makengeza, no idea, ni msichana/binti wa kawaida kabisa hana mvuto kwangu sijui kwa wenzangu, samahani tena.
nani alisema shem, hakuna kitu kuna category moja tu aliingia top 11..
Bora kakosa...
walisemaa ameingia top 10
kwa vigezo wanaangalia miss world tz sijui km tukiendelea na style ya lundenga tutafikia ushindi. kamwe hatuwezi. kile kigezo cha voting hakikupi ushindi ila kinakusogeza sogeza high table
Hapiness yuko vizuri upstairs ila sura ndio imemuangusha,hata umbo lake sijalipenda sana.
Kumbe ww km mi japo huwa sisapoti hayo mambo lkn sura hamna kitu...
Mi mpaka kesho miss ni Nancy, klyn , magese nk
People's choice aliingia top 10 acha kutudanganya.
Hapa hamna cha cheated wala chicken TZ haya mashindano milele tutakuwa washiriki tuu.N they cheated again