Walimbwende Suchaata ambaye ni Miss World pamoja na Miss World Africa Hasset Dereje wakiongozwa na mwanamitindo Mustafa kwa kushirikiana na taasisi ya Doris Mollel Foundation, wametembelea wodi ya watoto njiti katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam.
Katika ziara hiyo, walimbwende hao wameeleza kuguswa na kazi kubwa inayofanywa kuwahudumia watoto njiti, huku wakipongeza juhudi zinazofanyika na kuahidi kuchangia vifaa tiba na kusaidia hospitali nyingine zaidi kwenye maeneo yasiyofikiwa.
Huyu Dada Doris mollel yuko vizuri,
Pongezi kubwa kwake kwa kazi anayofanya,.
Yani taasis kama hizi unakuta hazipewi vipaumbele, ila maujingaunjinga ndio hupewa vipaumbele.