Miss World atua Arusha, hajaamini kama hapa duniani kuna pepo

Miss World atua Arusha, hajaamini kama hapa duniani kuna pepo

Pepo!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Akili sio tako
sasa miss unaangaliaje akili waache uhuni bhana, kama ni hivyo wangeweka mashindano ya wenye IQ kubwa tu
hayo ni mashindano ya urembo sio akili, wanatakiwa watuletee vifaa kwelikweli sio haya maghalasa
 
Yanaitwaga Beauty with purpose/Beauty with Brains
 
Miss World ashangazwa na uzuri wa Arusha, amuomba rais kibali maalumu cha kujenga nyumba Tanzania
qq.jpg

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akimpa zawadi ya maua Miss World, Vannesa Ponce mara baada ya kuwasili mwishoni mwa wiki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), kulia ni Miss Tanzania, Sylivia Sebastian.
Amepapenda sana burigi kule kakutana na chatu anaeongea lugha za mabeberu
 
Back
Top Bottom