Miss world, miss Kenya anadai GFM documentary imechukuliwa Kenya.

14590942_592059254325108_3917800606848253952_n.jpg

Hii ndiyo final list ya beauty with a purpose, Tanzania is no where to be seen.
Haaaaa! kwa hiyo miss Kenya fitna imempa ushindi wa kufika hapo? Huruma kuwa wameibiwa wamasai wao? Kazi kubwa.
 
Kwa hili haishangazi sana, kwa kuwa wanadai Mlima Kilimanjaro upo Kenya!!! Ni juu ya Diana kuitetea kazi yake na kuwadhihishia kwamba Tanzania pia Wamasai wapo
 
Habari za leo,

Nimepokea taarifa hii kwa masikitiko, ile documentary aliyoiandaa Diana Lukumay ya Genital Female Mutilation, ambayo imempa unique platform kwakuwa ni sensitive issue ambayo haijawahi kutowela na miss world. Miss Kenya amesema Wamasai wako Kenya si Tanzania na kuwa documentary yote imechukuliwa Kenya.
Kweni Kenya hakuna masai
 
Huy miss wetu.hakustahili watz tunapenda kushind kwa kura ndo hivy wengi mlizani hiz ni tuzo kama aliyoshinda alikiba kwa kungangania
 
Mwisho watakuja kusema Mzee majuto ni mkenya...
 
Habari za leo,

Nimepokea taarifa hii kwa masikitiko, ile documentary aliyoiandaa Diana Lukumay ya Genital Female Mutilation, ambayo imempa unique platform kwakuwa ni sensitive issue ambayo haijawahi kutowela na miss world. Miss Kenya amesema Wamasai wako Kenya si Tanzania na kuwa documentary yote imechukuliwa Kenya.

Huyo hajui historia ya Wamasai, wapo Kenya na Tanzania kwa wingi possibly wapo nchi nyingine within Eastern Africa. Kulikuwa na makundi mawili yaani two brothers Lenana na Sendeo the former ndo wa Kenya na the latter ni wa Tanzania! Short and clear.
 
Back
Top Bottom