LGE2024 Missenyi: Mbunge wa Nkenge, Florent Kyombo aomba kura nyumba kwa nyumba

LGE2024 Missenyi: Mbunge wa Nkenge, Florent Kyombo aomba kura nyumba kwa nyumba

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
NYUMBA KWA NYUMBA MBUNGE WA JIMBO LA NKENGE AKIHAMASISHA NA KUOMBA KURA ZA NDIYO KWA WAGOMBE WOTE WA CCM.

Tunaendelea kuhamasisha Wananchi na Wanachama wote wa Chama cha Mapinduzi kuhakikisha tunatafuta kura ili kukipa ushindi chama cha Mapinduzi CCM

“Wajibu wetu ni kuwakumbusha tu Wanamissenyi kazi kubwa ambayo CCM imeendelea kufanya katika Wilaya ya Missenyi. Uhakika wa kesho ya Tanzania uko CCM. Watanzania wana imani kubwa na CCM kila wanapofikiria maendeleo, umoja wa nchi yetu, utaifa wetu, amani na utulivu. Amesema Kyombo


 
Back
Top Bottom