Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Habari ya mjini ndio hio hio Missile inaitwa Harmshaher 5 inafika California bila wasi wasi wowote kwa hio USA asilete ujinga tena. Hio Missile Ina range ya 12,000 KM ni Intercontinental Missile. Warhead yake ni 2 ton na yenye speed of Mach 16 times faster than the speed of sound hakuna air defense yenye uwezo wakuitungua.
View: https://youtu.be/FCwgZgy2Jhc?si=1CUBByZwSHR-AoRu
Mbona umeweka picha za Marehemu?
Wakati netanyahu anaenda kurobi kupata replacement ya intercept iran inaendeleza ubunifu na production .. ya missle hii ndo maana halisi ya kujitegemea kikamilifuHabari ya mjini ndio hio hio Missile inaitwa Harmshaher 5 inafika California bila wasi wasi wowote kwa hio USA asilete ujinga tena. Hio Missile Ina range ya 12,000 KM ni Intercontinental Missile. Warhead yake ni 2 ton na yenye speed of Mach 16 times faster than the speed of sound hakuna air defense yenye uwezo wakuitungua.
View: https://youtu.be/FCwgZgy2Jhc?si=1CUBByZwSHR-AoRu
View: https://youtu.be/I13kDX_Cdh8?si=y63Ljvd0nsFGfQRO
Hilo ndo pigo kubwa kwa israel pia kuna yule waziri wa ulizni mwenye macho kama shetan badla ya kuhamasisha utulivu yeye anasema vita ndo itaamza tena sasa makampuni mengi lazima yataondoka tuWAYAHUDIA wengi wanaondoka kwenye ile nchi ya Mchongo wamekata tamaa na mavitavita yasiojulikana !!!
mwisho wake Wawekezaji nao ndio mitaji yao wanaondoa halaka.
Kwasasa watu wapo kwenye kuhama kwa Speed kubwa.- Ata mimi ningeama..