Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
As i lie down my bed the whole day today, all I am thinking of, is u mama!
Nakukumbuka sana mama yangu. Wakati mwingine siku inakuwa mbaya, nzito, chungu sana, natamani hata ungekuwepo nikakuegemea begani nikueleze yaliyonisibu, nikusimulie vile siku yangu imekuwa mbaya, naamini ungetabasam na kunitia moyo, ungefuta machoz yangu na kunichekesha kidogo. Ungenipiga piga mgongoni na kuniambia "pambana mwanangu, maisha ni mapambano, na mapambano si lelemama" na mwisho ungeniombea kwa upendo na kumaanisha...
Ooh! My Dear mama, kutokuwepo kwako ktk maisha yangu ni mtihani mkubwa, ni pengo ambalo kamwe haliwezi kuzibika. Najitahidi sana kujipa moyo na kuendelea bila wewe lkn inafikia wakati siku haiendi kabisa mama, hitaji langu juu yako halina kikomo... Sijui kwa nini uliniacha mapema kiasi hiki mama yangu kipenzi....
Uendelee kupumzika kwa amani mama yangu. Atleast njoo unikumbatie ndotoni..
Bintiyako C