Missing my mom!!

Missing my mom!!

Nikikumbuka ya nyuma nataman hata angekuwa tu kalal kitandan nimwambie yanayonisibu naumia sana ila ktk kuteseka nikaja kupata namna ya kutuliza mind yangu

Usiku saa 7 nawasha mishumaa nafanya maombi kisha huwa nasemezana na mama nafumba macho nahis kama tumeketi naye nasema kila lililonisibu ..kama n kulia nalia majonzi yanitoke ,, kwa kweli nikimaliza huwa napata nafuu kubwa sana
Dah, mimi ninajifungia ndani tu nalia
 
Pole sana jamani, amini yote ni mipango ya Mungu! Usihuzunike, muombee na mshukuru Mungu kwa yote!
 
Move on girl, move on. Mungu alivyoumba dunia, aliput into consideration hayo yote. Kuna kufa.

Kaza buti songa mbele.

Inawezekana mama yako huko alipo, anakutizama na anakuombea ufanye mema ili siku moja mkutane mbinguni.

Unapozidi kusikitika, nothing will change.

Samahani kwa kuwa harsh.
Nimekuelewa...
Ninajua kuna kufa, hata mimi nitakufa pia lkn huwezi kuacha kumkumbuka aliyekufa hasa kama alikuwa muhimu kwako. Kusikitika unapomkosa hakuepukiki.

Thanks anyway
 
As i lie down my bed the whole day today, all I am thinking of, is u mama!

Nakukumbuka sana mama yangu. Wakati mwingine siku inakuwa mbaya, nzito, chungu sana, natamani hata ungekuwepo nikakuegemea begani nikueleze yaliyonisibu, nikusimulie vile siku yangu imekuwa mbaya, naamini ungetabasam na kunitia moyo, ungefuta machoz yangu na kunichekesha kidogo. Ungenipiga piga mgongoni na kuniambia "pambana mwanangu, maisha ni mapambano, na mapambano si lelemama" na mwisho ungeniombea kwa upendo na kumaanisha...

Ooh! My Dear mama, kutokuwepo kwako ktk maisha yangu ni mtihani mkubwa, ni pengo ambalo kamwe haliwezi kuzibika. Najitahidi sana kujipa moyo na kuendelea bila wewe lkn inafikia wakati siku haiendi kabisa mama, hitaji langu juu yako halina kikomo... Sijui kwa nini uliniacha mapema kiasi hiki mama yangu kipenzi....

Uendelee kupumzika kwa amani mama yangu. Atleast njoo unikumbatie ndotoni..

Bintiyako C
Pole sana mkuu,,naelewa how you feel,but nina ushauri kidogo

Wewe unaonekana upo single,kama ni mwanaume tafuta girl ,ambaye atakupenda na achukue nafasi ya mama yako (sio nafasi moyoni but ya matendo)
Girl atakae kua àna kua nawe pindi unapohitaji comfort
 
Aisee wewe BEING SINGLE, ndo nini kunifanya nitoe machozi rafiki yng..?? Umeongea very touching words my dear..!! I guess how u feel and I knw how it hurts to lose something u love most.

All I can jst say is POLE SANA...!! Everything comes for a reason..!!
 
Mimi ni ke mkuu.. Asante kwa ushauri anyway
 
Aisee wewe BEING SINGLE, ndo nini kunifanya nitoe machozi rafiki yng..?? Umeongea very touching words my dear..!! I guess how u feel and I knw how it hurts to lose something u love most.

All I can jst say is POLE SANA...!! Everything comes for a reason..!!
Pole rafiki, na asante
 
Back
Top Bottom