Missing my mom!!

Missing my mom!!

Umenifanya niache kila kitu,machozi yanagonga mboni kwa mara nyingine tena,najisikia vibaya nikiwa na marafiki wakianza kusema wanunue zawadi za mama,wengine za baba! Mie nabaki kuumia rohoni tu huku nikijisemea why mom and Dady mliamua kuniacha huku peke yangu? Ni wapi nilimkosea Mungu mpaka akanifanyia hiki? Kweli mpaka leo Mungu nakudai sijawahi kukaa na kupata faraja zaidi ya kujikaza tu! Miss you Mom,Mis you Dady. May you rest in peace
 
Pole sana Mkuu
 
Acha tu my dear, kukosa mzazi hapa duniani maisha hayawez kamilika, ni kujikaza tu
 
Pole sana kiongozi, ni safari ya wote hiyo endelea kumuombea mama apumzike kwa amani
 
Dah..najaribu kukuelewa lakini nashindwa !poleni jaman mlopoteza wazazi...dah...!tuwaheshimu mama zetu hata km wana mapungufu
 
Back
Top Bottom