RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Heaven on Earth
Huyu mrembo amepotea kwa muda usiojulikana, mara ya mwisho alionekana mitaa ya Biashara na Uchumi, huwa anapenda kutembelea mitaa ya MMU na Chit Chat. Popote utakapomuona unaombwa kutoa taarifa hapa.
Heaven Sent
Huyu mrembo amepotea kwa takribani mwezi mmoja, yeyote atakaemuona popote pale atoe taarifa hapa. Huwa anapenda kutembelea mitaa ya MMU na huko ndipo alipooneka kwa mara ya mwisho.
masai dada aka Crazy Sexy Cool huyu ndito kapotea miaka kadhaa sasa, nasikia huwa anaonekana mara chache sana mitaa hii ya chit chit.
Tyta mzee wa picha, huyu jamaa ilikuwa ukihitaji picha inayohusu tukio lolote analupatia in no time,popote atakapooneka toa taarifa haraka.